Rais wa Marekani, Donald Trump, na mwenzake wa China, Xi Jinping, walizungumza kwa simu Februari 4. Trump alisema wana uhusiano "mzuri sana", na kwamba walijadili masuala mbalimbali ikiwemo juu ya ...
Rais mpya wa NHK, Inoue Tatsuhiko, amesema atafanya kazi ili kuimarisha kimsingi uwezo wa kutengeneza na kuwasilisha maudhui wa shirika hilo la utangazaji la umma pamoja na uwepo wake kimataifa. Inoue ...
Ligi Kuu ya England (EPL) inaendelea kuonyesha nguvu yake barani Ulaya baada ya timu tano za England kumaliza ndani ya nafasi nane bora katika hatua ya ligi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na hivyo kufuzu ...
Wakala wa fedha kwa simu Mirembe Tracy analalamika kwamba biashara yake katika mji mkuu wa Uganda wenye shughuli nyingi Kampala ililemazwa wakati serikali ilipofunga mtandao wakati wa uchaguzi mkuu ...