POINTI moja waliyokusanya KVZ walipocheza dhidi ya TRA United, kisha wakafungwa 3-0 na Yanga, kuna funzo kubwa wamelipata ...
USAJILI wa mabeki wawili wa kati Singida Black Stars, Abdallah Salum Kheri ‘Sebo’ na Abdulmalik Zakaria umetajwa kuwa ...
KOCHA msaidizi wa Mlandege, Sabri Ramadhan China amesema wachezaji wa kikosi hicho wameshindwa kuifanya kazi ipasavyo ndiyo ...
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, timu ya URA, imekubali ushindani iliokutana nao msimu huu katika michuano hiyo ...
HATUA ya makundi katika Kombe la Mapinduzi 2026, inahitimishwa leo kwa kupigwa mechi moja matata sana pale New Amaan Complex ...
NYOTA wa muziki na mfanyabiashara maarufu duniani, Sean Combs ‘P Diddy’, ameondoa sokoni jumba lake la kifahari lililopo ...
WAKATI Brahim Diaz wa Morocco akiandika rekodi ya kufunga katika mechi nne mfululizo za michuano ya Kombe la Mataifa ya ...
BAADA ya kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika ...
RUDINI tu nyumbani Taifa Stars. Imetosha. Hamtatukuta tumenuna. Kazi tumeiona. Afcon ya mwisho tuliondoka na pointi mbili.
KITENDO cha Muembe Makumbi City kufunga bao moja katika mechi mbili za Kombe la Mapinduzi, lawama ziende kwa washambuliaji wakiongozwa na Abdallah Idd Pina.
KIKOSI cha Yanga kinashuka uwanjani usiku wa leo kumaliza na TRA United katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026, ...
Camara ameshakaa nje kwa takribani miezi miwili kuuguza goti la kulia ambapo aliiacha Simba ikibaki na makipa wawili Yakoub ...